Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man City
  • 1Bravo
  • 3Sagna
  • 24Stones
  • 30Otamendi
  • 11Kolarov
  • 17De Bruyne
  • 25Fernandinho
  • 21Silva
  • 7Sterling
  • 72Iheanacho
  • 9Nolito
Substitutes
  • 5Zabaleta
  • 6Fernando
  • 13Caballero
  • 15Jesús Navas
  • 19Sané
  • 22Clichy
  • 75García Serrano
Guardiola anamkosea heshima sana Toure ....Yaan hata sub? Sikujua kwamba Wazungu kumbe nao wanakuwaga na beef za kijinga Jinga kiasi hiki
 
Wenye nyumba mmo humu!? Au mnaogopa mnachungulia kwa mbali!? Khe khee kheeeeeeer
Enjoy the game guys 15 mins to go.
 
Ngoja tuwaone ila mshukuru Mungu yule Aguero hayuko leo, kukosekana kwake kumeipunguzia majukumu defence yenu maana yule jamaa ni mbaya sana kwenye kuziona nyavu za wapinzani.

Tupo tena with a comfidence
 
Mpo??? Mpira ni kufunga,kufungwa au droo....ila hakuna anayeomba matokeo mengine zaidi ya ushindi....twende kazi Man U
 
Ngoja tuwaone ila mshukuru Mungu yule Aguero hayuko leo, kukosekana kwake kumeipunguzia majukumu defence yenu maana yule jamaa ni mbaya sana kwenye kuziona nyavu za wapinzani.
Tulia sindano iko jikoni
 
Nafikiri Mourinho ataona umuhimu wa Chris Smalling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…