Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sio mbaya sana, nilisikitika nilipisikia Rashford yu mbioni kuuzwa au kutolewa kwa Mkopo lakini kwa alichokifanya Leo nna uhakika wa yeye kuendelea kubaki na sasa Morihno atamuamini zaidi
 
Young alikuwa na nafasi kubwa ya kucheza kwenye hii match kutokana na aina ya Mchezo wa hull city
 
Asante sana RASHFORD SALUM JECHA.. hapa sasa hata hii whisky yangu inaeza shuka taratiiiiiiiibu
 
Bado sijui kwa nini hadi Leo kwa nini Morihno hamuamini Andy herera kuwa mbadala wa Matta
 
Hawa watoto walitaka kututoa nishai hivi hivi.....thanks to Rooney,thanks to Rushford...we are United hureeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…