Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sasa penalty aliyowapa Man u na ile aliyowanyima W'ham zina tofauti gani????? then hawa W'ham Ukuta wao nao mbovu....hatuchekani na sie wa Emirates.......

The fact remains that West Ham have been outclassed despite being two in front.
 
Jamani sasa ngoja tuhamie Brittania Stadium Stoke na Chelsea

Btw mambo from Upton Park ni Miguu ya Stool kwa ya Kigoda toa moja......... hahahahahaah 4 kwa 2

Glory, Glory Man United (GGMU)
 
Hongereni kwa ushindi wakuu, naona mmepiga giant step kuelekea ubingwa. Hii ilikuwa moja ya mechi ngumu kwenu, West Ham mara nyingi wamewafanya kitu mbaya huko misimu iliyopita.
 
Jamani sasa ngoja tuhamie Brittania Stadium Stoke na Chelsea

Btw mambo from Upton Park ni Miguu ya Stool kwa ya Kigoda toa moja......... hahahahahaah 4 kwa 2

Glory, Glory Man United (GGMU)

Aminia mkuu tuhamie huko now na watoto wanapaswa kupewa pongezi.....
 
Hongereni kwa ushindi wakuu, naona mmepiga giant step kuelekea ubingwa. Hii ilikuwa moja ya mechi ngumu kwenu, West Ham mara nyingi wamewafanya kitu mbaya huko misimu iliyopita.

Hahaha au sio mkuu???ndio mpira lakini unavyokuwa.....pamoja mkuu....
 
Hongereni red devilians wenzangu, maana hii mechi nilikuwa nina wasi wasi nayo sana -west ham jinx- Kama nilivyosema hapo nyuma tukishinda hii mechi basi ubingwa ni wetu kupoteza, looking at the table sasa hivi I can only pray for arsenal and Chelsea to draw.
 
Wakuu hongereni kwa kubebwa .....

RANT ... Wayne Rooney swears down the camera

after completing his hat-trick

The controversy was not done for the first half, with Vidic hauling down Demba Ba three minutes from the interval.

Bahasha zinafanya kazi khe khe khe kheeeeeeeeeeee lakini mwaka huu patachimbika tu hasa ukizingatia mambo yanavyokwenda kuna timu nyingi hazitaki kushuka daraja ..... ... ...

Tunasubiri pumba za Wacha

Wacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hujambo anko wacha1?
 
Hujambo anko wacha1?

Naona leo mmeponea tundu la sindano .... ..... khe khe khe kheeeeeeeeeeee chacha huko mbele ni giza tu .... ... mtakiona cha mtema kuni.
 
Wacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ebu tuangalie mpira tunaocheza umetufikisha wapi;

1. Tunaongoza kwenye EPL tukiwa mbele kwa point 7
2. Tuko kwenye Quarter Final ya Champions League
3. Tuko kwenye Semi Final ya FA Cup
Ukiniambia nichague kati ya mpira unaochezwa na Man Utd na wa Arsenal well jibu unalijua mwenyewe....
 
Reactions: Nzi
Arsenal 0 - 0 Blackburn
Stoke 1 - 1 Chelsea
Man Utd 4 - 2 West Ham
sasa sie kosa letu liko wapi mpaka mnatuchukia namna hii?
 
Reactions: Nzi

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Bahasha zinafanya kazi khe khe kheeeeeee

Arsenal 0 - 0 Blackburn
Stoke 1 - 1 Chelsea
Man Utd 4 - 2 West Ham
sasa sie kosa letu liko wapi mpaka mnatuchukia namna hii?

Kosa lenu ni kutoa Bahasha mmenunua marefa karibu wote yule refa wa leo alijua jasho litamtoka baada ya kuona mko two down hivyo akaanza kuwabeba. Kama unavyojua kwenye soka small decisions zinasaidia sana kwenye kushinda mechi hasa kwenye EPL ambayo iko mfukoni mwenu. Kama ulivyoona Vidic alikuwa ni last defender alikuwa aone red kabla ya halftime na penalty aliyowanyima West ham ..... ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…