Man utd ina kawaida ya kuchukua veteran strikers na kufanya vizuri. Kumbukumbu yangu inanirudisha 2007 tulimsajili HEnrik Larsson kwa loan ya miezi michache na akasaidia timu kuchukua ubingwa.
Misimu michache iliopita tulimsajili RVP ambae alikuwa anasumbuliwa sana na majeruhi, lakini akafunga magoli zaidi ya 20 na kusaidia timu kuchukua ubingwa.
Sasa hivi tuna Zlatan Ibrahimovich, na kwa jinsi alivyoanza namuona kabisa atafanya mambo waliyofanya akina RVP na Larson.