Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahaah that's cheap penalty to be honest, ball-to-hand to me..
 
Wayne Rooney to take a penalty.........

Rooneeeeyyyyyyyyyyyy, goooooooaaaaaaaallllllllllllllllllllll..................Its 2 - 3
 
Mmeona huko hizo ngapi wakuu.......haters hahaha
 
NewDawnTz umeona watoto wanavyocheza lakini????
 
sasa penalty aliyowapa Man u na ile aliyowanyima W'ham zina tofauti gani????? then hawa W'ham Ukuta wao nao mbovu....hatuchekani na sie wa Emirates.......
 
Hongereni Wakuu...Kwa mara nyingine tena imethibitishwa kwamba mpira ni dakika 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…