Kuna game ya CL next week......So SAF kaangalia uzito wa opponent wake na akaona Squad aliyoianzisha inafaa.....Its a Matter of time.....
Looks like you're in trouble today, 2-0 dk ya 25
Yehuuuuuu! This is sooooo sweet! One more goal please! before HT
Looks like you're in trouble today, 2-0 dk ya 25
Ni kweli mkuu lakini Premier League title iko sokoni kwa kila mmoja na hawa watoto huwa wanatusumbua sana kwao sasa sijui babu leo amewaza nini
Hii mechi ina uzito wake na West Ham wako kwenye historia ya kutunyima point muhimu kwao ambazo zinatuathiri na kutufanya tupoteze kombe la EPL
Smalling leo anacheza sana Corner balls......na lile shuti la mkorea Park J S ni yeye ndo kamlenga kipa au Green leo yupo fiti?????????
SAF knows this....may be 2nd half ataweka full mziki....Angalieni tu isije kuwa Toooooooooo LATE.......Usijali....kama mlirudi game ya B'Pool then hata hii mnaweza kurudi...Au vp?????
Huyu refa vipi?!!!!....hiyo faulo ya Vidic ilitakiwa red card, alikuwa beki wa mwisho
Za siku mkuu? Vipi international break uliitumia vizuri ? LolHahahaha! nimekuja washa tv late nakutana na hii scoreboard....eti nko kufungua JF may be nkakutana na bango tofauti, kumbe yaleyale. Duh! leo mbn kazi tunayo.