Kwani mafanikio ya kocha yanapimwa kwa kusajili wachezaji wachanga, kubania pesa ya wawekezaji au kunyanyua kwapa mara nyingi? Ibra ana mkataba wa mwaka mmoja tu, na kama ana uwezo wa kutupia golini, hata akiwa na miaka 40, sio inshu.Mou kasaini man u miaka mi3 anasajili wazee wa miaka 33 sasa kama si immediately recovery ni nini nawaza kama mtashindwa kudeliver itakuaje mtamfukuza au ndio story
Kwani mafanikio ya kocha yanapimwa kwa kusajili wachezaji wachanga, kubania pesa ya wawekezaji au kunyanyua kwapa mara nyingi? Ibra ana mkataba wa mwaka mmoja tu, na kama ana uwezo wa kutupia golini, hata akiwa na miaka 40, sio inshu.
Kama swala ni kuuza jezi basi sipendi kelele sisi hatujawahi kuendesha club kwa mikopo wala asaalaNa isitoshe kaja bure na ameshauza jezi thamani yake unamnunua Pogba.
Saa 9:30 alasilgemu ya man u kesho san ngap??
zee lile!" .......... labda uwezo wa kutupia goli za gest.Kwani mafanikio ya kocha yanapimwa kwa kusajili wachezaji wachanga, kubania pesa ya wawekezaji au kunyanyua kwapa mara nyingi? Ibra ana mkataba wa mwaka mmoja tu, na kama ana uwezo wa kutupia golini, hata akiwa na miaka 40, sio inshu.
Hahahahaaa, keshaanza goli 2 na msimu haujaanza sasa.zee lile!" .......... labda uwezo wa kutupia goli za gest.
McNair hakuwa na kiwango cha kuchezea Manchester, level zake ni Sunderland and he is 21 by now anahitaji playing time but kwenye namba yake tayari kuna smalling, blind, Jones, Bailly na Rojo sidhani kama kubaki hapa kungekua na faida kwake.Under Mourinho One youngster out, wengine wapo njiani. Kati ya wachezaji wachanga(from academy) walionyesha promising under LVG McNair alikuwa top 5.
sasa hizo mechi za majaribio?!! hata mimi nashinda tena si chini y goli 5.Hahahahaaa, keshaanza goli 2 na msimu haujaanza sasa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Msamehe hukumbuki enzi zile kama kwenu pilau lina kuwa linanukia watoto wa jirani full kuzunguuka home kwenu kama round about?
Kama swala ni kuuza jezi basi sipendi kelele sisi hatujawahi kuendesha club kwa mikopo wala asaala
Great point mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Tunachokifanya ni muhimu sana kwasababu bila kufanya hivo utakuwa kama liverpool au arsenal unajisifu na historia ambayo wakati kiukweli tunaendelea kwenda chini na unaatract less companies kwako na hakuna fan base mpya unayoitengeneza kwasababu ya mafanikio madogo .
Ndo maana Leo watu wanasema liverpool ni timu ya wazee, una ona same situation kwa Newcastle. So , hatutaki kufika huko, ndo maana mi nasuport matumizi ya hela nyingi as long as tumezitengeneza wenyewe.
Mkuu kwaiyo ndo umeamua kuasi kabisa thread yenu kule?Leo ndio leo asemae leo ndio shabiki wa arsenal
Najua unakosa aman kaka usijali sana we relax sio muda mrefu nitakukaribisha kule kwetuMkuu kwaiyo ndo umeamua kuasi kabisa thread yenu kule?