Nipo hapa kibanda umiza naangalia mpira sasa match imeisha wanaonyesha upokeaji wa zawadi sasa jamaa si akaweka taarifa ya habari mmh ukumbi mzima wamepiga kelele za toaaa toaaaa na matusi juu basi jamaa katoa taarifa ya habari karudisha highlights za man u