Jose Mourinho, kafanya mistake kubwa kumuacha huyu dogo Timothy Fosu-Mensah, kwenye kikosi chake.
Mkuu hii habari nina uhakika 200% sio kweli, unakumbuka kuna kipindi wakasema na blind?Schweinsteiger the biggest victim of Mourinho's clear-out Thursday
Sijui kama ni kweli Mourinho hamtaki Mensah ?.Kwa mujibu wa Dailymail ya leo huyu dogo ni kati ya wachezaji nane walioambiwa watafute team ?.Mimi si kocha ila huyu dogo tutakuja kujuta ndani ya msimu huu tena kuliko tunavyojuta juu ya Pogba.Kati ya maamuzi mabovu ambayo sitakuja kumsamehe Mourihno ni uamuzi huu.
Mtakumbuka akiwa Chelsea alimwacha Lukaku & Kevin De Bruyne ambao viwango vyao vya soka sina haja ya kuwaeleza kama kweli unafuatilia mpira.
Kwangu mimi Mensah ni mchezaji bora kuliko Rashford,pengine nafasi anayocheza ndio imemfanya asionekane haraka.Kwangu mimi Mensah ni bora kuliko Rojo & Matteo Darmian.Team kama Arsenal back four yao yote hawana mchezaji wa kiwango cha Mensah tena Wenger akisikia hii habari nina hakika atahakikisha anamyakua Mensah haraka sana na kutuacha wanazi wa Manchester United na majozi makubwa.
I hope this is not true.
Mkuu hii habari nina uhakika 200% sio kweli, unakumbuka kuna kipindi wakasema na blind?
Walichokifanya daily mail ni kuchukua majina ya wacheji ambao jana hawakuwepo mazoezini ndio wakatengeneza hiyo habari maana wanajua macho ya watu wengi hata wakaanga sumu yapo Manchester kuona wanafanya nini.
Yah, sidhani kama kuna mtu ana doubt na kiwango cha mensah, yupo vizuri na ni moja ya hazina tunayojivuniaAhsante nadhani unakubaliana na mimi juu ya kiwango cha Mensah sijamkuza wala sijampunguza.Unakumbuka mechi ya Spurs baada ya Dogo kuumia na kutoka tulipigwa bao tatu za aibu na hapo tukapoteza muelekeo wa nne bora.Halafu Mensah ana uwezo wa kucheza kiungo mkabaji,back ya kushoto na back wa kati bila shida yoyote.
Manchester United ni big threat kwakweli mbona hamzungumzii mambo mengine yanayohusu team zeno ebooo!
Na hapo ndo mou atakapopata shida sasa hao kina scholes hawarembi yani wanapasuka tuUnakumbuka pressure aliyokuwa nayo Bale pale Madrid kutikana na transfer fee yake?
Sasa kwa huyu Pogba itakuwa kubwa zaidi kwakuwa kuna wakina scholes kama ma pundits.......
Jamaa akionyesha kiwango mavi tu... Basi Magazeti ya Uingereza yanaanza kutafuta la kusema.
Na hapo ndo mou atakapopata shida sasa hao kina scholes hawarembi yani wanapasuka tu