van gaal na moyes walikung'uta madrid na barcelona na cha kuvutia zaid van gaal ktk game kumi za kupasha misuli alipoteza moja 2liporud ktk ligi kila siku presha mou huwaga hafany vizur ktk haya mashindano.