Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matter of fact hakuna jipya mnalokusudia kutegemea toka kwa mourinho poleni
Wewe wasema.. Tegemea mabadiliko makubwa sana...
Kwan we ni fan wa timu gan alaf tuwe tunakumbushana kila baada ya mechi 5 za ligi.. Taja timu yako mapema ili usije ukaikana
 
Natamani nicheke, ila basi
Ni aibu kwa timu kuweka matumaini makubwa kwa a 34 year old, this is terrible!!
Angalieni sasa, mnajilinganisha na BBC na MSN, dah, OT hakuishi vituko! Ila FUTUHI naona inawafiti sana hao HIV.
 
Unaweza kunambia ni timu gani zenye record ya kubeba ubingwa ikiwa na point & magoli mengi spain na england?
Wee jamaa mnafiki sana, nakumbuka kitambo ilikuwa unamponda sana JM, leo unakula matapishi yako chini umeinama!!
 
Ni aibu kwa timu kuweka matumaini makubwa kwa a 34 year old, this is terrible!!
Angalieni sasa, mnajilinganisha na BBC na MSN, dah, OT hakuishi vituko! Ila FUTUHI naona inawafiti sana hao HIV.
Paul scholes aliporudi toka retirement alikua na miaka 37/38 najua unaelewa nini kilitokea.
Wee jamaa mnafiki sana, nakumbuka kitambo ilikuwa unamponda sana JM, leo unakula matapishi yako chini umeinama!!
Hata van persie alipokua kwenu tuli mdisi sana, alipokuja kwetu tukamshangilia,

Welbeck alipokua kwetu mlimdisi saiz yupo kwenu mbona yale maneno hatuyaoni.
 
Unaweza kunambia ni timu gani zenye record ya kubeba ubingwa ikiwa na point & magoli mengi spain na england?
herrera mdogo angu nakuonea huruma kwa ujio wa mou lakini Ata Kama mlikua mnaitaji haueni fasta kiasi hicho ndio mou apewe nafasi ya kuifanyia timu revamp ya wadada?? Emb nambie Ata kuja na jipya lipi tofauti na defence yake iliyo mtoa Madrid na Chelsea?? Once a failure always a failure
Ni aibu kwa timu kuweka matumaini makubwa kwa a 34 year old, this is terrible!!
Angalieni sasa, mnajilinganisha na BBC na MSN, dah, OT hakuishi vituko! Ila FUTUHI naona inawafiti sana hao HIV.
 
Arsene Wenger ni specialist in failure,huwezi kumlinganisha na Jose Mourinho.Ulitaka tuendelee na Van Gaal ?
 
Kama Mou ni failure, Anko wenger tutamuita nani?
herrera, naona mna HIV.
Nadhani unaelewa jinsi HIV ilivo hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…