Kweli mmechoka mpaka kumchukua mourinho Hahaha naona Mko ICU mnaitaji intensive care mazee tena kwa haraka maana hakuna njia nyingine isipokua kupokea huduma ya mourinho mzee wa basi sijui atakuja na jipya lipi msimu huu ambalo litawafikisha top four