Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Number 9 and 18
 
wakuu na yule hirving lozano vipi dogo wa kimexico
Hakuna kitu kama hicho chief, kilichofanyika ni kwamba wamezusha ili dogo apate media attention, hii ishu haina tofauti na issue ya Hector herrera alipokua anataka kutoka kwenda porto hadi mshua wake alikaririwa akisema tumeshakubaliana nae kila kitu lakin haikua kweli
 
sawa mkuu ila wajina wako herrera atasurvive kweli kwa mourinho na juan mata naskia safari imewadia
 
Herrera anaweza akaachwa apiganie nafasi ila mata naona chance ya kubaki ni ndogo sana ukizingatia tunaongeza wachezaji wanne kitu ambacho ni LAZIMA kuna wachezaji wanatakiwa waondoke, I bet mata atakua wa kwanza
 
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
 
Huu utani wa ngumi jiangalie !!!!.....
 
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Mbona haichekeshi?
 
hata haichekeshi
 
Kamwambia mzee wako hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…