Hahahhahahaaaa rubaman sijawahi mdisi mourinho zaidi ya zile troll za kuwakebehi rent boys wakipoteza, na jinsi mou alivokua akitoa sababu akifungwa but sio kwamba am not a fan of him.
Mpwa tukae hapa hapa kuna mengi tutayaona natamani hizi post niwe nazitunza,kuna pre-season fulani umu mlikua vurugu maana walivimba duh kilichotea mbele ni hadithi ya watu kukana post zao.
Hahahhahahaaaa rubaman sijawahi mdisi mourinho zaidi ya zile troll za kuwakebehi rent boys wakipoteza, na jinsi mou alivokua akitoa sababu akifungwa but sio kwamba am not a fan of him.
WOODWARD'S STATEMENT
Ed Woodward said: “José is quite simply the best manager in the game today. He has won trophies and inspired players in countries across Europe and, of course, he knows the Premier League very well, having won three titles here. I’d like to take this opportunity to welcome him to Manchester United. His track record of success is ideal to take the Club forward.”