Hahha.. uko vizuri.. ila bakishen na zingine maana soon habari za mzee ku TWaNGA na board zitatujia na hapo ndo tutakopoimba na kuogelea keroroPoleeeee ukiona umezidiwa piga dompo itaflash halafu tunastart tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Arsenal wanapaswa kuchukua EPL,ni miaka 12 wamekuwa wasindikizaji
Poleeeee ukiona umezidiwa piga dompo itaflash halafu tunastart tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahha.. uko vizuri.. ila bakishen na zingine maana soon habari za mzee ku TWaNGA na board zitatujia na hapo ndo tutakopoimba na kuogelea keroro
Hahahahaa utatubu ..... ..Leo hadi raha hata mambo yetu Yale kwa 6*6 ni burudaniiii kwa raha zako ......Lol kesho nisije nikatumbuliwa na padri church inabidi nitege kwa kweli [emoji28]
Kwa sasa ndo habari ya mujini ..... naona LVG kaamua kuondoka kwa heshima kakubali matokeo.Karibu mourinho safo sana, kama ni habari za kweli
Haya sasa MOURIHNO rasmi sasa Utd
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwa sasa ndo habari ya mujini ..... naona LVG kaamua kuondoka kwa heshima kakubali matokeo.
Watu hubadilika kaka.....No more attacking football. Mliwapiga madongo Moyes na LVG kwa kuuwa attacking style yenu sasa amekuja the final nail on the coffin wa no attacking football. Msisahau kina Rashford, Lingard,Cameron Jackson, etc watakopeshwa kama sio kuuzwa within 2 seasons pia Mata ataingia mitini.
We want winning footballNo more attacking football. Mliwapiga madongo Moyes na LVG kwa kuuwa attacking style yenu sasa amekuja the final nail on the coffin wa no attacking football. Msisahau kina Rashford, Lingard,Cameron Jackson, etc watakopeshwa kama sio kuuzwa within 2 seasons pia Mata ataingia mitini.
Ila hii kazi ya ukocha ni balaa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nlipenda tumuage vizuri, hapa anaweza kwenda kwa amani sasa
Coaches are hired to be fired ( except SAF)Ila hii kazi ya ukocha ni balaa