Yeah ni kweli ndio maana nimesema nasubiri kucheki game inayofuatia hakuna aliyeniforce pia ni maamuzi yangu. Next tym si kila comment unatakiwa ureply zingine uta attract matusi tu kwa wenye roho nyepesi.

Kulikuwa kuna haja gani ya kuandika ulichoandika si.ungekaa kimya
Jamii forum huru kwakila mtu kuandika anachotaka ila usivunje tu sheria za.humu wewe ni nani.mpaka.uniambie next time nisi-reply.

Ndiyo na ndio lengo letu...upewe ban tu. Limechi lenyewe ni kama nlivosema kama kuangalia Coastal na Simba,,,sote tunajua Simba ana uwezo wa kushinda ila mchovu. Coastal anajitahidi sana kwa leo. Heri ningebaki kwangu tu