Last time walitutesa sana lakini still deal closed see you next season Everton mwaaaa.......Hawa watu tumewafunga kwao kwetu kisha neutral ground bado watu wanasema tunawabahatisha kweli!hawa wa kwetu msimu huu mzima
Kwasababu ilionekana tumepoteza hela kumnunua Martial.Hivi hii ilikuwaje kama wakaandika hvyo?
Ooh kwahiyo Maneno hayo yaliongelewa martial alivyonunuliwa..loh wapuuzi kweli.....na nafurahi anavyowaonyesha kwamba pesa haijapotea bure.Kwasababu ilionekana tumepoteza hela kumnunua Martial.
Yaani mtani FA Cup ni yetu ......by power by Force kitaeleweka!!!!
Hahahhaha baby power za kucheza .....nikikuita baby ujue nimekoshwa Mbaya na Man U.......hahahhahah.....karibu wine.ngoja nisubiri nione hizo power na force zitavyotumika
Hebu ngoja tufatilie hiyo ishu kama kweliGuys,
Inasemekana baada ya kuonyesha kiwango cha juu sana kwenye mchezo wa jana, Martial aliitwa na Maafisa wa kuzuia Matumizi ya kuongeza nguvu michezoni. Kitendo hicho kilimnyima nafasi ya kusheherekea ushindi na wenzake.
Tafadhali mwrnye kujua ukweli ni upi na matokeo ya vipimo no yepi?
BACK TANGANYIKA
Yaah!kuna mwaka tulikosa ubingwa sababu yao hawa game ilikuwa murua tunaongoza 4-2 duh wakachomoa huwa nuksi sana timu hii.Last time walitutesa sana lakini still deal closed see you next season Everton mwaaaa.......
Hahhaa nimefurahi ...... ngoja ninunue wine nyingine nikuwekee najua kwenye final utaihitaji sanaHahahhaha baby power za kucheza .....nikikuita baby ujue nimekoshwa Mbaya na Man U.......hahahhahah.....karibu wine.
Hata city wametupita point 55 points behind Arsenal with a game in hand and they still have to play Man City.. Top 4 is well and truly on!
Let's do it utd
Walete haoFA cup final
Utd vs palace
Bora hao palace aiseeWalete hao
Yes we will defeat them......FA cup is ours.FA cup final
Utd vs palace
Yes we will defeat them......FA cup is ours.
Bora hao palace aisee