LVG 4-0 kombe la mbuziWewe na wenzio mtaanza kumtukana Kolo,Skertel,Sakho na kocha coz hamtaamini kitakachowapata....Hivi umesahau LVG IS 4-0 VS Liverpool?!!
EPL ni kombe la mbuzi??!! Kombe la mbuzi Europa League weweeeee, pamoja na hayo tutawatoa tu hamna ujanja.LVG 4-0 kombe la mbuzi
Hiyo ni UEFA glory nakupiga kama mtoto!!
I will take UEFA kwa EPL!!EPL ni kombe la mbuzi??!! Kombe la mbuzi Europa League weweeeee, pamoja na hayo tutawatoa tu hamna ujanja.
Lazima useme hivyo kwasababu mara ya mwisho umechukua kombe la ligi england BABA YAKE RASHFORD ALIKUWA NA MIAKA 12 SASA SIJUI RASHFORD ALIKUWA NA MIAKA -VE NGAPI LABDA -36!!!!!I will take UEFA kwa EPL!!
Kwani nyie mna dalili ya kuchukua EPL hivi karibuni?Your time is over mkuu!Kwa makocha hawa akina LVG na mipango hii nakuhakikishia YESU atarudi hamjachukua sio tu EPL bali hata fainali za FA na Capital One nyie hamuingiiLazima useme hivyo kwasababu mara ya mwisho umechukua kombe la ligi england BABA YAKE RASHFORD ALIKUWA NA MIAKA 12 SASA SIJUI RASHFORD ALIKUWA NA MIAKA -VE NGAPI LABDA -36!!!!!
Mwambie Mr. Akutoe out this weekend. Hapo Martial ametoka kumfanyia shopping mke wake ilikuwa ni birthaday
Nawapiga hawa easily tu wala usiogope kuweka hela yako kwa Gabacholi!Isha bet hela nzuri tuYani hii mechi yenu sijuu natamani nani ashinde ila kama nawaona mkimtukana Rashford ama Depay hiyo siku.
Th Name Huyu shem wako kwa kushangilia magoli yupo vizuri hatari
Teh teh ana visa kweli. Ina maana kashindwa kuweka akiwa uwanjani kaweka hiyo ? Wew Th Name wew
Sawa mamyMhhhhh!!!!!! Wewe hujui tu hii picha ilivyoniumiza , cute b embu mueleze Huyu Martial ni nani...lol
huyo ni shemeji yako yaan mupenzi ya bibiee .Basi nieleze mwenyewe. Pole sana
Pacha Jana nilikuwa naangalia kny youtube game tatu hizi za mwisho za Man U,Depay aiseeee Shemeji alisakata kabumbu acha kabisa kuanzia Ile Mityjland dooohh Depay kabadilika sana akiendeleza hii spirit na zaidi kila siku tutacheka.....shem Ana comeover......lolTh Name Huyu shem wako kwa kushangilia magoli yupo vizuri hatari
Kumbe, nilikuwa sijui mimiSawa mamy
huyo ni shemeji yako yaan mupenzi ya bibiee .
It's my hope tutavuka salama.......tutafika tu Nchi ya ahadi!!!!Upcoming games.....
vs Wes Brom (sunday-away)EPL
vs Liverpool(thursday-away)EL
vs West Ham(sunday-home)FA
vs Liverpool(thursday-home)EL
vs Man City(saturday-away)EPL
Tight and tough fixtures...............
Eeeee Mwenyezi Naomba unipe nguvu ya kumuhudumia vyema Huyu Mteja wangu,ibariki kazi ya mikono yetu maana Mteja Kwetu ni mfalme......karibu sana Mteja wetu na amini umefika Sehemu sahihi na pasipo Shaka utazipenda sana huduma zetu,tukuhudumie na goli 5 au 6????