Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sidhani kama imeshakuwa confirmed kuwa Morinho anakuja OT.

Binafsi naombea asipewe mikoba pale.


Ndugu yangu Mourinho ni janga lingine ikiwa manchester watataka mafanikio ya muda mrefu ni bora Giggs apewe mikoba kuliko Mzee wa kupaki bus defensive tactics lingine wachezaji wa kikosi cha pili ndio utakuwa mwisho wao nitajieni ni chipukizi wangapi Mourinho kawapa nafasi tangu akiwa Chelsea,Intermilan & Real Madrid ?.Van Gaal kawapa nafasi madogo wengi sana kuliko team zote za EPL.Ingekuwa mimi na maamuzi still Van Gaal angemaliza mkataba wake 2017 halafa Giggs anachukua mikoba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…