Hahahahaaa alafu fellain akabaki hahahaaUsishangae hata kusikia Martial nae akaondolewa kwa mkopo au moja kwa moja..........
Hahahahaaa alafu fellain akabaki hahahaa
Ila Pereira kuondoka kwa mkopo nadhani inaweza ikawa sahihi ili akapate muda wa kucheza ukizingatia ujio wa januzaj unaweza ukambania nafasi.
Uwiiiiiii I love this kaboy Jamani!!! Kakiondoka nitasikitika sana ......yaani acha tu ntakuwa simpend Van Gaal...lol.....hivi Rojo vipi naye yaani nimevurugwa mpka sikumbuki lolote juu yake.Yaani Huyu mzee huyu, kuna mahali nilisoma millan walikua wanamtaka kwa mkopo ila utd waligoma,
Natamani angeondoka hata bure.
Perreira nasikia anaweza kuondoka kwa mkopo January hii
Hahahahaaa ni tetesi tu hizo ila omba apelekwe timu ya hapo hapo EPL ndio utakuwa unamuona vzri.Uwiiiiiii I love this kaboy Jamani!!! Kakiondoka nitasikitika sana ......yaani acha tu ntakuwa simpend Van Gaal...lol.....hivi Rojo vipi naye yaani nimevurugwa mpka sikumbuki lolote juu yake.
Naomba tetesi hizi zisiwe kweli kakaangu penda sana this kaboy kawepo Man U, halafu kana talent ila Van Gaal anakabania sana ........ Beta Rojo aje naye hivi zile sekeseke zake na Van Gaal ziliisha ?Hahahahaaa ni tetesi tu hizo ila omba apelekwe timu ya hapo hapo EPL ndio utakuwa unamuona vzri.
Rojo Jana kaanza kufanya mazoezi nadhani yupo njiani kurudi
Nadhani ziliisha maana kupo kimya, labda sababu yupo majeruhi,Naomba tetesi hizi zisiwe kweli kakaangu penda sana this kaboy kawepo Man U, halafu kana talent ila Van Gaal anakabania sana ........ Beta Rojo aje naye hivi zile sekeseke zake na Van Gaal ziliisha ?
Kesho nakufunga mtaniNadhani ziliisha maana kupo kimya, labda sababu yupo majeruhi,
But let's hope kila kitu kipo OK
Over my dead body! Nyie tutawapa mata tu si unakumbuka alichowafanya msimu uliopita?Kesho nakufunga mtani
Last season pale Anfield Game aliimaliza FELLAINI aliwazima kbs viungo wa Liverpool hope haujasahausijui anampendea nini huyu fellaini???!!!
Unawatisha wenzio mkuu Teh TehLast season pale Anfield Game aliimaliza FELLAINI aliwazima kbs viungo wa Liverpool hope haujasahau
na istoshe Liver wakicheza Pressing football kama walivyocheza na Arsena hakuna mtu anayefaa hapo zaidi ya FELLAINI .....mwekeni, Carrick au Bastian kama kiungo itagusa mpira
Hii itakuwa kama WALK OF THE DEADRUMOURS: Ferguson would return if Van Gaal is sacked
The 74-year-old retired in 2013 but would help advise Ryan Giggs should he have to take over the reins at Old Trafford, though the Scot would not return to the dugout
Former Manchester United manager Sir Alex Ferguson would take a hands-on role at the club if Louis van Gaal is sacked, according to The Sunday People.
A heavy defeat against Liverpool on Sunday could lead to Van Gaal being relieved of his duties, and the hierarchy at Old Trafford would hand the reins to assistant manager Ryan Giggs.
But 74-year-old Ferguson, who retired in 2013, would take on an advisorary role to help his former player in his first steps in management, though he is unwilling to return to the dugout.
RUMOURS: Ferguson would return if Van Gaal is sacked - Goal.com
Leo Nawatakia.....kufungwa...Leo nawatakia draw au kufungwa... Liverpool 3-1 Man Utd. Lallana, Henderson, Own goal, Martial.
Duh mapema yote hii umeshaanzaMfungwe tu