Mkuu hapo ni mbinu tu alizonazo Kocha...ndio zinafail na wala sio wachezaji mfano mzuri Chicharito alipokuwa Man watu alisema ameisha lakini angalia sasa balaa analofanya huko Ujerumani....philosophy anayoiita LVG....haiworkNi kocha ai wachezaji wamefikia mwisho wa kiwango?
Ni kocha ai wachezaji wamefikia mwisho wa kiwango?
kashengo hakuna kukenua Mkuu ni majonzi tu.manure hawatamkufuza LVG mpaka waone Top four ni Impossible MISSION
kumfukuza sasa hakutasaidia timu, kocha aliyepo ni Ancelotti peke yake wengine mpaka msimu uishe, KUWENI WAPOLE mtani Nzi Belo mfarisayo herrera everlenk
Kocha wenu aliwapa mafanikio ya muda mrefu katika TOP LEVEL, zama zimepita sasa ku replicate yale matokeo na mfanikio ni kazi ngumu kweli kweli
Next Game mko na STOKE CITY PALE BRITANIA hii ni another Tricky game
Mentor na Ntuzu leo mnakenua tu
kashengo hakuna kukenua Mkuu ni majonzi tu.
manure hawatamkufuza LVG mpaka waone Top four ni Impossible MISSION
kumfukuza sasa hakutasaidia timu, kocha aliyepo ni Ancelotti peke yake wengine mpaka msimu uishe, KUWENI WAPOLE mtani Nzi Belo mfarisayo herrera everlenk
Kocha wenu aliwapa mafanikio ya muda mrefu katika TOP LEVEL, zama zimepita sasa ku replicate yale matokeo na mfanikio ni kazi ngumu kweli kweli
Next Game mko na STOKE CITY PALE BRITANIA hii ni another Tricky game
Mentor na Ntuzu leo mnakenua tu
Golden Boy Anthony Martial pulled back one goal but it was not enough even with double digit corners that amounted to nothing. Meanwhile, Louis Van Gaal sat on his philosophical ass as Giggs came out to move the team,but something doesn't smell right. Norwich wins at OT for the first time since 1989 ending the match 1-2. Some amazing effort from Smalling with that header, Blind & Young were pushing & pushing, but it was not enough. That moment when I saw Roy Keane leaving OT and some fans yawning, I realised that OT has lost it's magic and with that, my official match analysis is ‪#‎LVGOUT‬. What your analysis of this game?