Defence yetu ya Leo sio UA uhakika badala ya kumuanzisha Morgan akasaidie kuharibu mipango anamuweka fellain?
Mzuka wa kuangalia mechi umeshakata aisee dah
defence leo kazi ipo. fellaini chenga sometimes. pale kati angekuwepo morgan ingekuwa poa
mzuka umekata kabisa aisee
Uwiiiiiiiiiiiiiii
kwani kufunga goli ndo hoja. bado namtaka morgan teh teh tehHa ha haaaa bado unamtaka morgan??
kwani kufunga goli ndo hoja. bado namtaka morgan teh teh teh
leo sijaenda kibanda umiza. nitaangalia youtube hilo goli. hongera zakeMimi nimependa tu alivyofunga yaani ni goli la kujituma kweli kweli.
leo sijaenda kibanda umiza. nitaangalia youtube hilo goli. hongera zake
leo sijaenda kibanda umiza. nitaangalia youtube hilo goli. hongera zake
Naniiiiiii kafunga vileee?
Mimi mwenyewe sipo live ila nimelicheki kwa App moja inaitwa Man United Pro
Mimi nimependa tu alivyofunga yaani ni goli la kujituma kweli kweli.
Ha ha haaaa bado unamtaka morgan??
Kufunga sio ishu, hata giroud anafunga, fellain hata kutoa pasi kunamshinda
Kufunga sio ishu, hata giroud anafunga, fellain hata kutoa pasi kunamshinda