Mechi ni ngumu na hatuna wa kumlaumu zaidi ya uzembe wetu wenyewe, Wolfsburg kwao ni wagumu sana, katika mechi 42 walizochezea kwao wamefungwa nne tu, japokua historia inatulinda lakini sioni pa kutokea, let's wait and see,

ni kweli mechi ni ngumu sana. ushindi ndio njia ya pekee ya sisi kwenda kwenye 16 bora. pia tuombe CSKA moscow amfunge psv. ila leo pagumu lolote linaweza kutokea