Kwangu Mimi jinsi nilivyoiona first eleven yetu duh!! Moyo ulikuwa unadunda sana na nilijua mvua ya magoli inatunyeshea. Kwa leo inatosha....
Hahhahhahha cheka tu uongeze siku za kuishi mbona mi naona season hii afadhali kuliko last season,japokuwa tunajikongoja tutafika salama tu.
Hahahhahahhahhahaha Ngoja haters waje....
Hata benchi hakukuwa na watu wa kubadilisha matokeo.... hii timu siku hizi hasipokuwepo Harrera ninakuwa sina imani nayo kabisa.
LVG inabidi anunue striker mwingine sasa
Hata benchi hakukuwa na watu wa kubadilisha matokeo.... hii timu siku hizi hasipokuwepo Harrera ninakuwa sina imani nayo kabisa.
LVG inabidi anunue striker mwingine sasa
Van Gaal bado si chaguo sahihi kwa falsafa ya Man U. Mpira wa kufurahisha hadhira hata Wenger ulimshinda.
Ajabu mpaka sasa hawajafika tuu lol
Dirisha mama.... dirisha lilitisha ati!! Saaa huu mchechemeo unareflect lile dirisha???
Yaani shida kubwa ni striker aisee!!! Tunabaki tu na ball possession kubwa kuhit mbele zero .......yaani inatia hasira sana basi tu!!!
Ajabu mpaka sasa hawajafika tuu lol
Mpira ni points 3 hayo mengine ni mbwembwe tu.....
Fella boy is there sir ha haaaaa kiruuuu
Mi nahisi Magufuli amewastukiza kwenye viwanja vyao.....kimewauma walijua tutakula mvua ya magoli!!!
Hii timu yetu sijui imekumbwa na balaa gani dah
Haya sasa tumeanza kufika!
Poleni sana aisee kuna vitu vingi vyakufanyia kazi kwenye chama lenu,kwanza nilazima kutengeneza confidence kwa wachezaji,
Nimeangalia kipindi kimoja cha kwanza yani mliniboa mpaka nikaamua kutomalizia mechi.
Hahahhaha siyo wewe ulikuwa unalalamika tumekuwaje ? Ila hii EPL imevaa kimini wiki hii unapeta wiki ijayo unapotea ,wiki hii ni Arsenal na Man city wanapeta
Kwanza kama hautajali... jitambulishe kwanza tujuane tujue tutakujibu vipi
Unatokea halmashauri ipi?