Nimechikia mmeshinda kama kawaida yenu na goli la matuta ooops brown envelopes ..... ...... .aibu Manure bana nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu nikisema LVG is useless huwa hamnielewi,unaona sasa? Huyu kocha hamna kitu,timu haina mwelekeo wachezaji hawana mbinu hata idea hawana,hawajui wafanye nini. Sasa hii timu inaweza kwenda kushinda kule Ujerumani??!!
Psv atamfunga C.Moscow na sisi tutatoka,na kwa maajabu na uwezo wa timu Arsenal atapita Man utd itatolewa. Mpaka huyu LVG aondoke ndio hii timu itasonga mbele.