Dah! Angalau tumeondoka na points 3...mmeona jinsi Herrera alivyo-go 'barmy' kushangilia goli la pili? Jamaa ndiyo maana mashabiki wanampenda, anaipenda timu..na hata akipigwa benchi halalamiki....na ameshasema anatamani siku moja akae kwenye jukwaa la mashabiki kwenye mechi za ugenini, kwa maana away fans wa United siku zote hawachoki kuishangilia timu..