Kuna kitu nataka kujua. Hivi hapa JF hakuna thread ya Premier league only? Naona Chelsea, Arsenal, Man Utd, Liverpool, Citey wasipocheza hapa panakuwa jangwa la sahara, yaani hakuna mtu anayeongelea mechi za timu nyingine. Tuwe tuna appreciate mechi nyingine pia sio hizo za top 5 tu.