ile game nakumbuka tuli relax sana baada ya kupata zile goli tukajua tumeshashinda, beki zilikua zinabutua butua tu, Neville ndio alijisahau kabisaa kama yupo uwanjani, ndani ya dakika za nyongeza tunaruhusu goli mbili, ilikua comeback moja nzuri sana kwa upande wa Everton, dogo pienaar na kipa wao Howard walikua kwenye kiwango kizuri sana bila kumsahau jagielka.
but nina imani Leo tunashinda 100%