Manchester United (Red Devils) | Special Thread

What is happening with Schneid??

Alipopumzishwa juzi nilijua ni kwa ajili ya hii game..naona mzee amemuweka nje leo
 
What is happening with Schneid??

Alipopumzishwa juzi nilijua ni kwa ajili ya hii game..naona mzee amemuweka nje leo

hiki kikosi sio cha ushindi sina imani nacho kabisa, Herrera hawezi kucheza deep, young na depay wote ni LW nani atakaecheza RW? young hawezi kabisa
 
Martial anacheza position hizi
LW/RW AU CF/ ST
 
Namuonea huruma sana huyu dogo Shaw

Kila akianza kurudi kwenye kiwango majeruhi yanamrudisha nyuma

Get well soon
 
Shaw kavunjika vibaya. Inawezekana asicheze msimu mzima. You could see the reaction from the PSV defender to know how bad it was. Labda inaweza kuwa kama ya Ramsey, Edu enzi zile
 
Dogo Shaw amekuwa ni mmoja wa wachezaji walioanza msimu vizuri sana. Sasa yawezekana akakosa msimu wote, kama kweli kavunjika mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…