Manchester United (Red Devils) | Special Thread

# Team Name P W D L F A GD PTS
1 Manchester Cit 5 5 0 0 11 0 11 15
2 Manchester Uni 5 3 1 1 6 3 3 10
3 Arsenal 5 3 1 1 5 3 2 10
4 Crystal Palace 5 3 0 2 8 6 2 9
5 Everton 5 2 2 1 8 5 3 8
5 Leicester City 4 2 2 0 8 5 3 8
7 Swansea City 5 2 2 1 7 5 2 8
8 Norwich City 5 2 1 2 8 9 -1 7
9 Liverpool 5 2 1 2 3 6 -3 7
10 West Ham Unit 4 2 0 2 9 6 3 6
11 Southampton 5 1 3 1 5 5 0 6
12 Watford 5 1 3 1 3 4 -1 6
13 West Bromwic 5 1 2 2 3 6 -3 5
14 Aston Villa 4 1 1 2 4 5 -1 4
15 AFC Bournemo 5 1 1 3 6 9 -3 4
16 Chelsea 5 1 1 3 7 12 -5 4
17 Tottenham Hot 4 0 3 1 3 4 -1 3
18 Newcastle Unit 4 0 2 2 2 5 -3 2
19 Sunderland 4 0 2 2 6 10 -4 2
20 Stoke City 5 0 2 3 3 7 -4 2
 
Reactions: Nzi


Wewe utakuwa na short memory....hii beki mbovu hukupata hata goli moja few days ago!!
 
The next flop came in..Tusubiri tuone the confirmation baada ya wiki chache.

A a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 REPEAT AGAIN..
 
Reactions: Nzi
Samahanini jamani nilitumia Mwanzo maneno makali ila nawapa hongera Mashabiki wa Man United hongereni mmecheza mpira na mmechukua 3point za haki hata Manager wenu hakuwa na haja ya kusimama kwenye line yake, japo wengine wakifungwa wanamchukia LVG ila Bora yeye anajuwa anachofanya na makosa yake Mfano: Carrick anamuweka Mbele ya mabeki wa kati anampa nafasi Herrera ya kuzunguka jengine ukitaka kujua manager mwenye akili na asie Kuwa na akili Goli la United la kwanza timu zengine hufungi sizani Kama United wangetoka vile Kama mabeki wa lfc au wangemuacha mtu nje ya Box LVG angempiga mtu vibao, United Man U wamecheza kutokana na Manager na Kuwa na Players ambao wanafundishika hasa Carrick kwa wenzake ila Brendan Rogers muda wote kasimama pale Haoni makosa players wengi kanunua hawajui nini wanafanya kutokana Manager pia anawachanganya.hongereni hata kwa moyo wa Upande Upande ila Hongera ni hongera enjoy 3points.
 
Uyu Martial Art waulizeni Arssenal uefa ya msimu uliopita pale emirates alikua anasumbua beki zote zinahamia kwake wengine wanatupia magoli tu. Mwenye akili atamkumbuka na hapo alikua na bado mdogo sana yaani bado ana muda wa kutosha kama jana LVG alivyosema amemnunua Martial kwa ajili ya kocha ajae maana anaamini misimu inayokuja ndio atakua moto wa kuotea mbali zaidi
 
Reactions: Nzi
Young: "Morgan is the translator but if Martial talks like that on the pitch, that’s all we need." #ManUtd

Thierry Henry: "I'm happy for him
(Martial). They wondered if he spoke
English, he did with the ball."
 
Reactions: Nzi
Blind ni kiraka muhimu, CARRICK shujaa asiyeimbwa, mwanzo mzuri kwa Martial, Schweisteiger anaonyesha ukongwe wake, Memphis anahitaji kujifunza zaidi haswa akitokea benchi. Tulistahili Point 3. Glory Glory Man Utd.
 
Blind ni kiraka muhimu, CARRICK shujaa asiyeimbwa, mwanzo mzuri kwa Martial, Schweisteiger anaonyesha ukongwe wake, Memphis anahitaji kujifunza zaidi haswa akitokea benchi. Tulistahili Point 3. Glory Glory Man Utd.

Nilimshukuru sana kocha alivyomtoa Depay maana baada ya dakika ya 38 nilikua naimba tu mwenyewe "Depay out" "Depay out" maana dogo alikua anauza sura sana akijisahau kwamba namba ile ni ya kushindania anadhani yupo peke yake alafu kama alijisahau majuku yake
 
Hyu Dogo ana mpira wa Show Game sana sometime anavyocheza utadhani yupo level za CR7 au Messi....Yaani kuja Pale O.T anajiona kama ndio CR7 mpya vile...Na hiyo tar 15 na ndugu zake PSV naomba hata asipangwe....aanze Young
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…