Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wolfsburg PSV na CSKA Moscow.... hamna sababu ya kushindwa kupita stage hii

Kama kawaida yenu, mnapewa miteremko. Hapo mnaweza kuondoka na maximum points zote. Mngewekwa katika kundi letu tungewakaribisha na kuwaaga mlangoni lol.
 
Zlatan back to Malmö

Di Maria back to Real

Depay back to PSV

Mourinho back to Porto


Enrique back to Roma

THIS IS CHAMPIONS LEAGUE !!!!
 
Reactions: Nzi
Kama kawaida yenu, mnapewa miteremko. Hapo mnaweza kuondoka na maximum points zote. Mngewekwa katika kundi letu tungewakaribisha na kuwaaga mlangoni lol.

Kama hili group la Utd ni la mteremko, sijui hili group litaitwaje Bayern Munich, Arsenal, Olympiakos, Dinamo Zagreb

Kundi lenu ni la mchekea ila kwa sababu nyie ni Arsenal sitashangaa kuona Bayern akipita na Olympiakos.... come on Olympiakos

Bahati mbaya next round hamtakuwepo ningependa tupangiwe na nyie mtaani kuwe kimya lol
 
Hili group gumu sana. Hao wote wazima.
Tusipokuwa makini tutadindosha point muhimu.

mkuu yes umakini unahitajika lakini ukiangalia chance ya kupita ni Kubwa kuliko kupoteza,

CSKA
Mabeki wa CSKA ni wale wale mabeki wa timu ya taifa ya urusi tuliowaona kwenye euro qualify akina Berezutskis na Ignashevic ambapo mi nawafananisha na akina brackets na paddy mc Nair, japokua mbele yupo doumbia(amerudi) na eremenko lakini kwa kiwango cha doumbia cha msimu uliopita wakati yupo Roma ni cha kawaida sana, sio yule was miaka 2 au 3 nyuma.

WOLFSBURG
YES ni wagumu lakini gud news in kwamba mchezaji wao bora de bryune anaenda kuchuma hela za mafuta pale etihad, kuna jamaa anaitwa Dost huyu ndio wa kumuangalia sana na schlurle and the rest of the team in ya kawaida sana, akina Gustavo, krose na bendtner wakawaida sana kwa saizi. huyu bendtner ali-shine game moja tu ya juzi na Bayern napo alitokea sub.

PSV
siwafuatilii sana ila ninachojua wachezaji wao bora wawili wa msimu uliopita Memphis na Winaldum wameondoka, Memphis tunae na huyu Winaldum nahisi kasajiliwa na Newcastle kama sikosei,

bado tunakila sababu ya kupita hapa hata kwa bao la mkono.
 

Kundi lenu ni kati ya mepesi mwenyewe unakubali. Kwetu anayetarajiwa kumaliza mwishoni ni Olympiakos, WaCroatia wataweka mguu mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…