Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nahamu sana yakumuona my hubby chicharto akcheza nahisi ntafuhi sana,
 
bado sijaelewa Partnership ya Morgan na carrick, wote ni DM kwann analazimisha wacheze pamoja wakati bastian yupo.

Morgan ana uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji na wakati huo huo akacheka kama defensive.
Itategemea na wapinzani watakavyocheza, kama watakuwa wanashambulia muda wote jamaa atarudi kusaidiana na carrick.
Hapo ana role mbili.
Pia, Bastian yupo sub ataingia kuongeza mashambulizi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…