Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Aug 8, 2015 #36,622 Picha za Mechi ya leo zinafuata.
E Ed n Edd nEddy JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 5,345 Reaction score 6,078 Aug 8, 2015 #36,631 Nasikia leo mmetandaza soka la hatari kama enzi za miaka ya tisini kipindi red devil as red devil huyu bwana Walker ni saini ya lini? BTW hongereni kwa 3 point cc everlenk Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nasikia leo mmetandaza soka la hatari kama enzi za miaka ya tisini kipindi red devil as red devil huyu bwana Walker ni saini ya lini? BTW hongereni kwa 3 point cc everlenk
JOAQUEM JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,673 Aug 8, 2015 #36,638 Malafyale said: everlenk na RRONDO ndugu zangu kwema hapa? Kyle Walker gave you a game!Nahisi mwaka huu kwa kiwango hiki cha Depay nafasi ya 7 inawahusu Click to expand... Mkuu unanifurahisha sana .. hivi unawezaje ku-arguments kwa mechi moja na conclusion mpaka na nafasi tutakayo shika umewezaje kutambua timu zingine zitakvyocheza....na kupata matokeo ya mazuri kuliko atakayoyapata MAN U...? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Malafyale said: everlenk na RRONDO ndugu zangu kwema hapa? Kyle Walker gave you a game!Nahisi mwaka huu kwa kiwango hiki cha Depay nafasi ya 7 inawahusu Click to expand... Mkuu unanifurahisha sana .. hivi unawezaje ku-arguments kwa mechi moja na conclusion mpaka na nafasi tutakayo shika umewezaje kutambua timu zingine zitakvyocheza....na kupata matokeo ya mazuri kuliko atakayoyapata MAN U...?