Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwanini huna imani nae?
Kocha gani una imani naye?

he doesnt do his math well mkuu
chek this
unanunua bastian and is now 30s plus ni injury prone wenzio wananuanua vidal
unamuacha valdes aende bure unamchukua sergio(ameachwa na sampdoria) kisa tu alicheza chini yake az 2008
KARIBIA MSIMU MZIMA SAMPDORIA KAENDA KWA MKOPO MONAKO NAPO KACHEZA MECHI HATA TANO HAZIFIKI
PLUS SAMPDORIA HAKUA KIPA NAMBA MOJA ALIKUA MSAIDIZ WA VIVIANO SO HOW CUM?ANATENGENEZA MAN U YA AINA GANI HUYU BABU?
UNAMUACHA DI MARIA UNAMT65EGEMEA MEMPHIS?WHT A SHAME
 

Mkuu tambua kuwa Di Maria anataka kuondoka mwenyewe na sio club au manager anayemfukuzisha....mimi mwenyewe sipendi huyu jamaa aondoke lakini hatuna budi kukubaliana na matokeo.
Kuhusu suala la kipa De Gea future yake bado ni uncertain mpaka sasa na kupata kipa mzuri kariba ya De Gea haraka haraka ni ngumu...chukulia mfano Labda tumuhitaji Hugo Lloris pindi De Gea ikatokea ameenda RM..... Totenham kwakujua shida yetu hawatakubali kumwachia kirahisi na ilitokea wakamwachia si fedha ndogo utakuja jikuta umepigwa pesa ndefu
Sergio Romeo kaja free hakuna chakupoteza..... kwasasa LVG asajili CB ukizingatia na formation atakayoitumia mara nyingi ni 4-3-3....(http://www.manutd.com/en/Tour-2015/...eferred-manchester-united-formation.as)ambayo itatuexpose sana kama backline itaendelea kuwa ya kusuasua
 

Umeongea kama jerry muro akishakunywaga Konyagi , akuna kitu cha maana ulichoongea hapo zaidi ya chuki tu na United #GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…