Naona u digging up bones...leo mechi yenu lazima niicheki maana inatangulia yetu! Amma cheer like av been a Barca fan since birth...heck, like my whole generation was spanish!!!!!!
U v got to wait to see how it unfolds for us...for all I know is we r ur next champions...EPL 2015/2016..that's for sure!!!
Ambalo hatujajua mpaka sasa ni kombe gani litaisindikiza hiyo EPL.
Hahahahhaha!!!! Utachekwa na dunia....uko wapi mwenzetu? Hujui timu gani sasahivi yenye udhamini wa nguvu kuliko zote?.. cute b njoo mama watu wanauliza ati tumepata shavu la Adidas lini?
Hahahahhaha!!!! Utachekwa na dunia....uko wapi mwenzetu? Hujui timu gani sasahivi yenye udhamini wa nguvu kuliko zote?.. cute b njoo mama watu wanauliza ati tumepata shavu la Adidas lini?