Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Yaan apo naliona tuu linavyonipekua. Lijinga kweli. Eti mamy mtu akikutongoza ukamkataa ndo bifu moja kwa moja? Utoto bhanaaa
teh teh teh teh
Unachekesha sana.. Unaweza kuniambia web yeyote unayostream video ambayo hautumii youtube??
The question is are u watching it direct from youtube?? Wewe na huyo mwenzako ndio wakwanza duniani kuwasikia mnaangalia mpira live from Youtube.. Hivi unajua hata Youtube ni nini??? hahahaha aiseee
FT Man 3- 1 San Jose Earthquake
Yap mumie twende tukazisake zilipo. ....Maombi yangu Bwana awe nasi.
Karibu mkuu, tunasubiri habar zaidi za ndani kutoka kwa mwanahabari wetu herrera
Nimefurahiaje mamy..
Sasa game lijalo loh mtu na mchepuko akuu nitaangalia matokeo Facebook tuu siwezi kufa presha
Hhahaaaaa personal attack zitakuuwa wew.
Hapa ni fake id tuu unamwandama mtu kama vile kakuchoma dole...
Acha upumbavu wew
Hahahah bila kusahau na wozap na YouTube....dah sijui itakuwaje,ila naskia Messi na Neymar Hawapo,tutawachapa tu.....
Man u 2-1 galaxy yote Memphis
aisee man u kushoto hamna kitu .....huyo blackett ni ushuzz mtupuu .....huyoo marcos rojo ndo mama yanguu weee !! huyoo shaw ndo kabisaa staki ata kusemaa !! angalau young kidogoo anakaza ....ila ndo wale wale ....yaani chongo kwenye kundi la vipofu ....bola ata mechi ilopita van gaal alivomuweka yule pereira uhai ulionekana ...maana ana udambwidambwi flaan amaziingg
U should first know the difference btn fake ID and anonymous ID.. Unless you are fake here teh teh teh
Kwa kwli mimi naona ulikuwa poa na wamecheza na Earthquake kama vile Manchester na ndnda fc.
Hahahaaa ni magoli tuu halafu vijana wali relux sana
Kwani neymer bado yupo kwenye adhabu? Au kuna reason nyingine?
Kama hawapo watatutambua.
Hiyo siku mamy weka mb za kutosha tutaangalia kwa kupitia Facebook na YouTube