LvG katika press conference yake ya leo haya no baadhi ya mambo aliyoyazungumzia:
de gea na Valencia bado ni majeruhi game yakesho vs San José hawatacheza.
kikosi kilichoanza zidi ya club america kitabaki vile vile ila tofauti ni kwamba Sam Johnstone ndio mchezaji pekee atakae cheza dk 90. maanake kikosi kitakua hvi Johnstone, Darmian,
Jones, Blind, Shaw, Carrick,
Schneiderlin, Young, Mata,
Memphis, Rooney
kuhusu kumleta striker as a surprise kasema mchakato unaendelea vzur na huyo striker sio anaezungumziwa na vyombo vya habari kwa sasa.
kuhusu ramosi kasema 'I hve already said that it is a process, and may be Mr Ramos is in process you never know'
kuhusu darmian kasema atakua ni namba mbili ya Valencia.
kuhusu chicharito kasema anategemea makubwa sana toka kwake,