NLICHOKIGUNDUA MIMI
Kuna timu nyingi sana EPL, LA liga, Seria A na Bundesliga kubwa na ndogo
Na Kila timu Au mshabiki lazima atakuwa na timu ya kushabikia....
Na ndo maana hapa Jf Kuna threads za timu mbalimbali ili Kila mmoja afocus na timu yake zaidi
Cha kushangaza mashabiki wengi sana wa timu nyingine wanapenda kufatilia kwa ukaribu sana kinachofanyika Man Utd kuliko timu zao
Mfano mzuri ni huu usajili....Man Utd ndo inaongelewa sana kuliko timu nyingine
NIMEAMINI.....HII NDO CLUB YENYE WASHABIKI WENGI ZAIDI DUNIANI NA INAYOFUATILIWA NA WATU WENGI ZAIDI!!
GGMU: