Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Achaneni na huyo lafa we kama shabiki wa chelsea hapa unafata nn kuna mtu kakukaribisha si kuna thread ya chelsea nenda huko kaandike sio lazima hapa
 
Issue ya de gea bhana...
Ivi mkuu vipi tumemsajili au ndo ana subiria?
 
Tunashinda mumy....nimekuona kitaa fulani dogo unarusha mawe si mchezo nikajisemea ndo maana dogo langu linapewaga ban!!! Ila watu wachokozi ulimpa kilichostahili.

Ata mimi nimeona ushindi mamy japo pia CF AMERCA wapo vizuri ila in God we trust.
Na pia natamani kujua kikosi gani kitacheza..
 
Achaneni na huyo lafa we kama shabiki wa chelsea hapa unafata nn kuna mtu kakukaribisha si kuna thread ya chelsea nenda huko kaandike sio lazima hapa

haya mkuu naona sasa hivi wewe ndio unapanga wapi niingie na wapi nisiingie ............ hivi mwenye forum ni shemeji yako?!
 
Kwa niaba ya MAN U fan witw tunakubaliana na ww kuwa tumesajili kibabu
Oky now its oveeeeeer.....
 
Ata mimi nimeona ushindi mamy japo pia CF AMERCA wapo vizuri ila in God we trust.
Na pia natamani kujua kikosi gani kitacheza..

Watatulizwa mpaka sasa first eleven haijatoka ila wowote tu watakaopangwa ni Vyema ili tuwatambue vizuri.......siku tutakayocheza na Barca ndo nasubir kwa hamu ntakuja na fast jet tucheki wote..lol
 
Uwe tuu mvumilivu mchepuko wako akizidiwa nguvu hahahaaaa
 
Watatulizwa mpaka sasa first eleven haijatoka ila wowote tu watakaopangwa ni Vyema ili tuwatambue vizuri.......siku tutakayocheza na Barca ndo nasubir kwa hamu ntakuja na fast jet tucheki wote..lol

Unaenda 'New York City' na Fast jet mamii, nami naomba lift mtani-pick ferry!???
 
sasa umaarufu gani mkuu!' huku kila kitu feki, hata tukikutana hatujuani!' ............. nani anataka umaarufu kunuka!'

kuhusu swali lako!' muache kutaambaaa!' na hicho kibabu!' mmeuziwa famba.

Hahahahaaaaaaaa
Mkuu uzee kwako unaanzia miaka mingapi?
Cristian Ronaldo ana umri gani na analingana uwezo na mchezaji wako yeyote?
 
Kwahiyo mechi mapenz yote kwa hubby we najitaka nishabikie mchepuko? Siku hiyo mchepuko simjui kabisa.....lol
Hahahaaa save tarehe kabisa.
Bora umpotezee mchepuko tuu maana tulikubaliana msimu ukianza tubaki njia kuu...
Mie wangu MAN UNITED tuu
 
Attachments

  • 1437133427638.jpg
    32.5 KB · Views: 68
Watatulizwa mpaka sasa first eleven haijatoka ila wowote tu watakaopangwa ni Vyema ili tuwatambue vizuri.......siku tutakayocheza na Barca ndo nasubir kwa hamu ntakuja na fast jet tucheki wote..lol

First eleven bado sana, hope baada ya game mbili tatu tutaweza pata pair sahihi za kuanza pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…