hapa ni sawa unaniulliza miaka 17-19 ni sawa?? kwa namba sio sawa...ila physically most likely ni sawa. miaka 28-30 tofauti ni namba tu. ungeniambia 25 na 30 ningekwambia ni tofauti sana.
28yrs old kwa £28m na 30yrs kwa £14m ipi good deal hapo?? honestly.....
You are really good at this.....
Pirlo yupo New York City ........... kama manure nayo ni new york city!' sawa. Vibabu vyote vinaenda kumalizia mpira Marekani, huyo kaja kuumalizia hapo.
Kama umri ndio kigezo vp kuhusu Terry anaweza kubattle na forward kama Kun 16 ???
Na wapi tumejitamba kuwa Bastan ndio tegemeo ??
Nafasi anayocheza Bastan kuna Morgan, Carrick, Versatile Blind mbona husemi na sisi tuna buckup???
Vp nyie sio New York city kwasababu Falcao na wengine type yake???
Falcao yeye ni chaguo namba tatu!' nyie hicho kibabu mmekanunua tegemeo!' 1st eleven ............ sasa nafas anayocheza terry unaifananisha na anayochecheza huyo injury prone. ningewaona wajanja kama mngempata pogba. msitambeee!' msimu ujao mjitahidi hat mmalize nafasi ya tatu.
Hey guys hi
Nipo hapa Man U Fan kitambo sana sijatembelea humu ndani, Nipokeeni tafadhari.
BACK TANGANYIKA

kubalini!' mmeuziwa kibabu!' injury prone!' ............. hahahahaha!' watu wamechukua hela sahivi wanataka kununua Vidal tena kwa hela ndogo sawa na bure!' wakat Vidal aliikataa Manure kwa dau kubwa.
You talking as if your in charge there.......falcao yeye ni chaguo la tatu, tofauti na hicho kibabu mlichonunua eti 1st eleven, ila mjitahidi angalau next season mshike nafasi ya 3 ............
RRONDO JOAQUEM, EVERLENK, BELO, na wadau wengine hebu achaneni na huyo mpuuzi ENZO yes mpuuzi maana hana analolifanya zaidi ya kutafuta umaarufu jukwaani, mbaya zaidi nanyie mmekubali kumpa sapoti, lampard aliondoka kwao ana miaka kibao kaenda man city huyo huyo kawanyima point 3 kwa goli lake LA kusawazisha, yes man utd tumenunua kibabu so we unataka nn? mda mwingine utajiona unafurahisha jamii kumbe unachekesha, nenda jukwaani kwako kadiscuss na wenzio kwann timu yenu haina uwanja hadi leo hii sio kuja kutupigia kelele za kutaka umaarufu hapa, darmian 25, Morgan 25, de pay 22/21 hao wote hujawaona? mourren anavomsajili falcao huoni, IDIOT YES YOU ARE IDIOT,
Hey guys hi
Nipo hapa Man U Fan kitambo sana sijatembelea humu ndani, Nipokeeni tafadhari.
BACK TANGANYIKA
Karibu sana na jiskie uko nyumbani.
sasa umaarufu gani mkuu!' huku kila kitu feki, hata tukikutana hatujuani!' ............. nani anataka umaarufu kunuka!'
kuhusu swali lako!' muache kutaambaaa!' na hicho kibabu!' mmeuziwa famba.
Ficha upumbavu wako., umeshakuwa kero humu ndani mkuu. Jiongeze.
falcao yeye ni chaguo la tatu, tofauti na hicho kibabu mlichonunua eti 1st eleven, ila mjitahidi angalau next season mshike nafasi ya 3 ............
Samahani mkuu, hivi Falcao ana miaka mingapi??
Mamy nipe utabiri wa kesho
Tunashinda mumy....nimekuona kitaa fulani dogo unarusha mawe si mchezo nikajisemea ndo maana dogo langu linapewaga ban!!! Ila watu wachokozi ulimpa kilichostahili.