Kyara Atufigwe
Senior Member
- Mar 29, 2015
- 120
- 68
Mkuu, hii si ndo alipiga bonge la shuti pale OT na mpira kwenda wavuni!? Man U ya kipindi hiko acha kabisa Kaka!!!
Pale kati ukimkuta Kaka Scholes lazima upoteeeeeeee!!! Nyuma wanalindwa na Vidic na Rio, usinikumbushe Mkuu. Ila hii Mido Scholes ni moja ya viungo bora kabisa waliowahi kutokea. Hataachana sana na Modric but Scholes alikuwa mzuri sana, anapiga mashuti na mipira mirefu kwake ni kawaida sana. Asante sana kwa kumbukumbu!!!
Mimi sioni umuhimu wa ramos but kama naeza mshauri van gal asajili beki kijana atakae tumika kwa muda mrefu..
mabeki vijana tunao wengi sana kaka, jones, McNair, bracket, wote hao wanahitaji kiongozi,
Lakin hata kama atakuwa viongozi ila atakuwa kama van parsie kwamba anatumika miaka miwili alaf kwisha habari yake
by the time atapokua ana retire atleast akina jones watakua wamepata kitu
naomba kuuliza,je tukiwa kama wadau wa MAN UTD je hatuna group la whatsapp ili tuweze kubadilishana mawazo na huko pia!! #samahanin wakuu kama ntakua nimewaudhi!!
naomba kuuliza,je tukiwa kama wadau wa MAN UTD je hatuna group la whatsapp ili tuweze kubadilishana mawazo na huko pia!! #samahanin wakuu kama ntakua nimewaudhi!!
Lipo. me nilijitoa siku nyingi
Widespread Italian reports now that Darmian is done Torino Granata wish him well for the rest of his career.