Glory Glory Manchester United ........na bado.... Ee Mungu mpe hekima LVG afundishe soka la uhakika na afanye usajili wa maana utakaoleta matunda mazuri na wasaidie wachezaji wetu waelewe na wajitume kwa bidii wawapo uwanjani na wape nguvu ya kufunga magoli mengi ,we fans need to enjoy the real football which has been missed recently. Na wote tuseme Amen.......
ameeeeeeen, subiri ant manutd waje
#timumburukenge na #wakaangasumu nanyi itikieni Amen.......maana hata nanyi mmekosa ladha tamu ya mpira siku nyingi.......
Glory Glory Manchester United ........na bado.... Ee Mungu mpe hekima LVG afundishe soka la uhakika na afanye usajili wa maana utakaoleta matunda mazuri na wasaidie wachezaji wetu waelewe na wajitume kwa bidii wawapo uwanjani na wape nguvu ya kufunga magoli mengi ,we fans need to enjoy the real football which has been missed recently. Na wote tuseme Amen.......
Glory Glory Manchester United ........na bado.... Ee Mungu mpe hekima LVG afundishe soka la uhakika na afanye usajili wa maana utakaoleta matunda mazuri na wasaidie wachezaji wetu waelewe na wajitume kwa bidii wawapo uwanjani na wape nguvu ya kufunga magoli mengi ,we fans need to enjoy the real football which has been missed recently. Na wote tuseme Amen.......
#TeamWakaangaSumu
We jamaa nakufananisha na mtoto ambaye anapenda kwenda kushinda nyumba ya jirani hadi anapasahau kwao. Unapenda sana kuwa united ndo maana upo huku muda wote.
Hapa ni kweli kabisa maana kuna player uko alipotoka Memphis na ambaye anavaa viatu vya Depay amesema yeye ndoto zake ni iyo njia anayopita Depay yaani kuja kucheza MU lakini kwa sasa ngoja aongeze kile alichonacho na siku moja atakuja cheza MU...duh nilishangaa sana