Hahahaha dah ndio ngoma yao ilipoishia hapo
rubaman nashukuru umetusindikiza kuiaga jioni ya leo, thats how we supposed 2be, tukutane msimu ujao!
#chaooh
rubaman nashukuru umetusindikiza kuiaga jioni ya leo, thats how we supposed 2be, tukutane msimu ujao!
#chaooh
Fergie atampa Bruce kibarua cha kuishusha Newcastle United next season. Muda uliobaki from sasa hadi August 8th ni wa kusikiliza predictions nyingine toka kwenu Manchester United. Nzi na Malafyale sijawaona muda mrefu vipi wapo wanalipana vidau walivyowekeana?
Maneno ya mkosaji hayo. Hujui umuhimu wa FA CUP sio? utakuwa umeanza kufuatilia mpira wa nje jana jana wala sio juzi juzi. Tangu tukate ngebe za "how long since Arsenal lifted a trophy"? Mmekuja na wimbo mwingine wa FA CUP sio Kombe hahaha. Next season tutakata ngebe na kulift Premier League then muanze kulidharau nalo.. Naona Manywele Fellaini karambishwa kadi nyekundu hapa.
Vipi mkuu? Hull hawabebeki
Chini ya miezi mitatu August 8th tuombe uhai. Kama kawaida mtakuja na matumaini ya kujenga ghorofa baharini afu mechi ya 1 mnapigwa ubaya na Leceister City Old trafford.
Liverpool watakuwa wamerogwa miaka nenda rudi wanaishia chini ya Manchester United magarasa. Hahaha juu ya usajili msimu ujao mlisema hivyo hivyo Summer iliyopita. PSV wameshakula at least £20M zenu kwa toto-tundu Depay, nasikia kumnunua mzee Schweisteiger toka Bayern Munich kumreplace mzee Carrick. Tusubiri tuone summer hii mtauziwa mbuzi wangapi guniani.
kumbe hata msimu uliopita liver waliku chini ya utd
Mkuu uwe unatambua jokes za kiutani mpirani. Kuanzia leo hapatakuwa na ligi ni muda wa kutaniana humu.
Wazee wa timu bovu msimu ujao pia hamtashiriki uefa champ lge kwani mtatolewa katika mechi za play offs
Mmesahau kuwa mna miaka zaidi ya kumi bila FA CUP? Mnataka tuwakumbushe? Inaelekea strategy zetu za kutumia pesa chache katika transfer so long tunahakikisha tunamaliza top four zinafanya linalotakiwa au sio? Next season mtatumia at least £ 60M nyingine kununua magarasa mengine. Hadi sasa mmeshatumia £ ngapi vile kwa DEPAY?
Unasahau kuwa man utd ndio club tajiri Uingereza? Suala la kumaliza top 4 ni hatua kubwa sana tena inawauma sana maana mlijua tushapotea mazima kama Liverpool. .....tuombe uzime, uione Man utd next season ikiwa Ktk ubora wake.
So sad league ndo imeisha hivyo. Hamsha amsha haipo tena
Amsha amsha ya usajili ndo itatawala.....