Debate- Who's an expensive flop?
Di Maria's first season vs Ozil's first season. Ozil inspired his team to sit on the top of the league until he got injured in January. Di Maria inspires his manager to not selecting him up for the first eleven team. So is the better?
rubamanLiverpool wajilaumu wenyewe kwa kuwapa Man Utd nafasi ya UCL. Hata hivyo bado wana nafasi ndogo ya kuwapiku hawa mburukenge.
rubaman
Nilipokuambia kama nacheza CL hata ww ulinicheka!100% nacheza CL maana hawa hawatoki kwa team yyt iliyobaki kucheza nao
Kiukweli kabisa nimeumia zaidi nijuavyo kuumia yaani hata sielewi ndio mchezo gani wanaocheza awa MAN U....dah aiseee hii inahitaji moyo mkubwa kuvumilia
rubaman
Nilipokuambia kama nacheza CL hata ww ulinicheka!100% nacheza CL maana hawa hawatoki kwa team yyt iliyobaki kucheza nao
Wewe nimeshakuambia ukimaliza juu ya United nidai dola 100, tena na jinsi dola ilivyopanda thamani sasa!
Wewe weka jiwe tu..
Nazi bookmark zote, nitawakumbusha wewe na Nzirubaman iweke hii kwenye hansard
Nazi bookmark zote, nitawakumbusha wewe na Nzi