Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu walikuwa wanasema humu kuwa ratiba ya man u ni ngumu hivyo top 4 hawezi kukaa.
Nikajaribu kuwakumbusha kidogo tu kuwa mzunguko wa kwanza ni Man City tu ndiye aliyetufunga na Chelsea ambaye aliambulia sare wengine walikula kichapo.
Sasa watakuwa wameelewa kuwa game kubwa tunakuwa makini kupita maelezo.
Wajipange upya maana wanaojiita timu kubwa watakuwa wanaumbuka tu.
 
Hodi humu ndani,tumeshinda ila nasikitika Rooney na de gea walikua chini ya kiwango na de gea kawapa goli liver fools
 

Timu yetu mbovu iko hivi je ingekuwa ni nzima sijui ingekuwaje

Kuna hawa pundits kwenye TV halafu wengi wao ni ex gunners and liverpool players always wanaongea vibaya kuhusu Utd .. ohh hawawezi kumaliza kwenye top four ... ohh walisema mpaka Southampton watamaliza juu ya Utd ila soon tutaanza kuheshimiana kama bado hawajaanza kutuheshimu
 

Kuna huyu mlevi Paul Merson kila siku anatabiri man utd anafungwa au draw! Yaani ni juha hajifunzi tu! Recently alitabiri Newcastle tunapata draw,totenham tunafungwa na hii ya leo alitabiri tunafungwa 3-0!!!! Na Sky Sports wanamlipa kwa utabiri wake huh!
 

Point of correction,Southampton wamefungwa goli 21 tu, ndio wanaoongoza kufungwa goli chache zaidi
 

Angalia alichosema leo

[h=1]Former Arsenal star Paul Merson: Why Liverpool will BEAT Man Utd[/h] PAUL MERSON believes Liverpool's pace up front will cause too many problems for Manchester United's defence to cope with.

Huyu jamaa nikimuona kwenye TVyupo kama pundit wakati Man Utd wanacheza straight away ninabadilisha channel, jamaa hana kingine anachoongea zaidi ya kuikandia Man UTD
 
Kile kitendo cha Rooney kung'ang'ania kupiga penalt badala ya kumpa Mata amalizie hat-trick yake😡

Wayne hakung'ang'ania kupiga penati hiyo ... kila timu ina penalty taker wao na kwa Man Utd mtu huyo ni Rooney

Unakumbuka Balotelli alipong'ang'ania kupiga penati sikumbuki na against timu gani kwenye europa, unakumbuka Gerald alisemaje?
 
Reactions: Nzi
Wayne hakung'ang'ania kupiga penati hiyo ... kila timu ina penalty taker wao na kwa Man Utd mtu huyo ni Rooney

Unakumbuka Balotelli alipong'ang'ania kupiga penati sikumbuki na against timu gani kwenye europa, unakumbuka Gerald alisemaje?

Angempa tu Mata acheze, yeye kama team captain ana maamuzi ya kum assign mtu yeyote kufanya jambo flan ndan ya uwanja. Mata tayari alikuwa na goli 2 angepata hiyo chance angepiga hat trick kitu ambacho kingeongeza kitu flan kwake.
 

Inaelekea Wewe utakuwa unamsikiliza na kuamini Robbie Savage sana.
 

Kwa kweli Paul Merson huwa anakosea predictions (Sio za United tu)nyingi kuliko Mark Lawrenson wa BBC
 
Kwa kweli Paul Merson huwa anakosea predictions (Sio za United tu)nyingi kuliko Mark Lawrenson wa BBC

OK mi huwa naangalia za united tu! Huyu hata game zetu home na timu kama Sunderland atatabiri draw?!! Are we that bad?! Two points from second spot!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…