Simba ata akizeeka hageuki nyau, carrik ni mtambo yule we mwenyewe unamuelewa wazee wakina terry na bado wanapiga mzigo fainal kesho unadhani ni bure hio!!! Carrik shughul anaiiweza
Naona mmejikunyata kona mnachungulia hamna imani na timu yenu. Mnasubiri mfunge goli ndo mje kushangilia sio? Nyie watu waoga kinoma. Come on Sunderland gongeni vichwa wasije kabisa humu. DonDonald, Nzi, Belo, RRONDO, mfarisayo