Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal hatutanunua wachezaji kijinga jinga hivyo (labda baada ya Wenger). Policy yetu ni kupandisha wachezaji toka Reserve.

Hata Man Utd ilipokuwa juu haikuwa inanunua hovyohovyo itafika point tu inalazimu kufanya hivyo mfano timu isipopata nafasi UEFA ni ngumu kupata wachezaji wazuri kwa bei nzuri lazima ununue kwa bei kubwa tu
 
... not so good for Louis van Gaal who has work to do to improve this United team. Photograph: John Peters/Man Utd/Getty
 
Van Gaffe anaendelea kufanya vitu vyake khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: BAK
LVG ni mwalimu mzuri ila ananiudhi sana kwa kuchelewa kuwa na maamuzi, anafanya maharibio tu kila siku tena majaribio ya kijinga.
Hafai kuwa kocha wa MUFC. Amalizie mkataba wake tu.
 
kufungwa ni kawaida ya mchezo ila philosophy ya LVG ata siielewi mpira tunacheza sisi na kufungwa tufungwa kizembe daaah!!
 
Wayne Rooney and Juan Mata in private conversation, "I hate LVG Rooney" Rooney, "Me too Mata he should be fired asap." Photograph: Darren Staples/Reuters
 
Hata Man Utd ilipokuwa juu haikuwa inanunua hovyohovyo itafika point tu inalazimu kufanya hivyo mfano timu isipopata nafasi UEFA ni ngumu kupata wachezaji wazuri kwa bei nzuri lazima ununue kwa bei kubwa tu

Tofauti kati ya LVG na Man City na Chelsea ni kuwa wenzake walitumia pesa nyingi kugombania ubingwa yeye anatumia pesa nyingi kurudi ECL ambayo na yenyewe hadi sasa kuna uwezekano Man United wakaikosa. Arsenal tulijiwekea lengo(baada ya kujenga Emirates) la kuwa ndani ya ECL huku tukinunua magarasa, kitu ambacho tuliweza kukifanya. Hivi sasa tuna uwezo wa kununua wachezaji wa bei mbaya (kidogokidogo) tunarudi juu na maybe tutagombania ubingwa miaka michache ijayo.
 
lol! wenye msiba wameikimbia nyumba yao, hawa jamaa bana kwa kukimbia misiba dah! Sijui kama wataonekana ndani ya nyumba leo hii.

Wacha fujo tupo kwenye msiba khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Una uhakika Man City na Chelsea zilipoanza kutumia hela nyingi zilikuwa na lengo la kugombania ubigwa??
 
Arsenal hatutanunua wachezaji kijinga jinga hivyo (labda baada ya Wenger). Policy yetu ni kupandisha wachezaji toka Reserve.

My goodness me! Ebu nitajie hao mliowapandisha toka reserve na kufanikiwa!!

United toka miaka ya 1930 hadi kesho, imekuwa ikitumia wachezaji kutoka kwenye youth system katika kila mechi. Hii ni rekodi ya United tu.
 
Nimeapa sibet tena..wakuu nilbet match ya leo Man u tunashnda lakn daa imekula kwangu...Enz za babu Fergie ilkuwa raha tupu hata ukibet hauwaz
 
Nimeapa sibet tena..wakuu nilbet match ya leo Man u tunashnda lakn daa imekula kwangu...Enz za babu Fergie ilkuwa raha tupu hata ukibet hauwaz

Mbona rahisi, usi-bet Manu kuwa itashinda. Siku hizi ni timu ya kawaida, ipage nafasi kama ikicheza kwao labda.
 
Wayne Rooney and Juan Mata in private conversation, "I hate LVG Rooney" Rooney, "Me too Mata he should be fired asap." Photograph: Darren Staples/Reuters

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee absolutely classic.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…