Can't be believe we lost...anyway tuganga yajayo...
Hawa Welsh wametutoa nishani...
LvG ana mapenzi ya dhati kwa jamaa...yaani jamaa hakuwa fit...ni heri kugamble na Falcao kuliko mtu aliyekuwa majeruhi...
LvG ana mapenzi ya dhati kwa jamaa...yaani jamaa hakuwa fit...ni heri kugamble na Falcao kuliko mtu aliyekuwa majeruhi...
Kanyaboya Continues. Watu wanajivutia mishiko kwa raha zao. Nasikia LVG atapewa £250M msimu ujao kuongeza magarasa mengine kama Brendan Rodgers hahahahaha
LvG ana mapenzi ya dhati kwa jamaa...yaani jamaa hakuwa fit...ni heri kugamble na Falcao kuliko mtu aliyekuwa majeruhi...
We sema tu hivyohivyo wakati Man City ilipokuwa inatumia hela nyingi kununa wachezaji Ferg alikuwa anawaponda leo Man City imekuwa juu ya Man Utd. Sasa ndo tunakumbuka kununua na Arsenal ni hivyohivyo itafika wakati mtatumia tu hela nyingi
cheka unenepe mwaya unadumu nayo this week only,usingekuja hapa walah....hongera kwa ushindi,nakubali nimeshndwa leo ndo soka hilo but i will make it next
Khe khe kheeeeeeeeee kheeeeeeeeeee
CC: everlenk