Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii game itafanya mashabiki wamchukie LVG,next game ataanza kuzomewa
 
Reactions: Nzi
Dakika ya 85 WH 1 MANU 0 #BringBackSAF
 
Hii game tunapoteza kwa sababu ya kocha kufanya mzaha kwenye lineup na subs..
 
tuna tatizo moja....mara nyingi tunaanza kucheza vizuri tukishafungwa ndio maana tunatoa draw mechi kama hizi mfano stoke city,wes brom

hii ilikuwa post yangu leo asubuhi....mpaka tufungwe ndio tunacheza vizuri matokeo yake ni draws
 
LvG ana kiburi sana...anyway tuombe wakubwa wa OT wasimchoke na kiburi chake...
 
Hongra RRONDO Nzi everlenk
maana sare sio mbaya kwa rejuvinated WHU hasa mkiwa ugenini ingawaje Falcao na RVP wamekosa bao za wazi sana hapa mwishoni
 
Last edited by a moderator:
Hongra RRONDO Nzi everlenk
maana sare sio mbaya kwa rejuvinated WHU hasa mkiwa ugenini ingawaje Falcao na RVP wamekosa bao za wazi sana hapa mwishoni

Asante kaka yangu,ingawaje kwa upande wangu game la leo limeniboa sana hata nikasusa kulitazama tena,angalau tunashukuru kwahyo droo si haba.
 
Last edited by a moderator:
Can we state our teams am a man utd fan cos i sense arsenal fans are also talking infront of their husband
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…