Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii Liverpool kipindi wamemuuza Alonso walikaa misimu kama 3 mpaka kuja kuziba Pengo lake, Sasa la Suarez sijui itachukua muda gani kuziba

Liverpool sahivi wanahitaji kocha. Anaejua wana anfield wanataka nin.
 
Tena kubwa sana, Duh mchezaji mmoja tu anaweza kuwa na impact kubwa kiasi hicho. Sikukubaliana nao walipokubali aende Barcelona kwani wangeweza kabisa kumshawishi abaki, sasa inakula kwao.

Baloteli kaingia.....
 
Reactions: BAK
Yaani LVP mmekosa hilo bao lijutieni sana, asante sana De Gea
 
Reactions: BAK
Naona kama tunaanza kupoteza kiungo taratibu. Nahisi timu inamuhitaji Herrera humu ndani.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…